Inicio Top Música Bad Bunny Música Cristiana Taylor Swift Ed Sheeran Luis Fonsi Ozuna Daddy Yankee J Balvin Maluma DMCA

Letra de 'Hino da Tanzânia' de Hinos de Países - Escucha y canta en New Musicas

Varios-artistas

Rock Peru

Varios-artistas

Top K Pop

Varios-artistas

90s Rap

Varios-artistas

Mix Musica Cristiana Juvenil

Artist profile picture

Hino da Tanzânia

Hinos de Países

Canciones

Mungu ibariki Afrika
Wabariki Viongozi wake
Hekima Umoja na Amani
Hizi ni ngao zetu
Afrika na watu wake

Ibariki Afrika
Ibariki Afrika
Tubariki watoto wa Afrika

Mungu ibariki Tanzania
Dumisha uhuru na Umoja
Wake kwa Waume na Watoto
Mungu Ibariki Tanzania na watu wake

Ibariki Tanzania
Ibariki Tanzania
Tubariki watoto wa Tanzania

Inicio Top Música Bad Bunny Música Cristiana Taylor Swift Ed Sheeran Luis Fonsi Ozuna Daddy Yankee J Balvin Maluma DMCA